Monday, August 2, 2010

KARIBUNI

Ninayo furaha kubwa kuwakaribisha watu wote katika blogu hii mpya ya Kikristo. Jambo moja nina hakika nalo, kwamba ziko blogu nyingi za Kiksrito ambazo umekuwa ukijengwa kwa hizo, tunachofanya sisi kwenye blogu hii ni kujiunga na Watumishi wengine ambao walianza kazi ya kufundisha na kuhubiri kwa kutumia Internet.

Tunawahakikishia kwamba kila kitu kitakwenda sawasawa na vile BWANA alivyokusudia. Ombi letu ni hili, kila wakati ambapo utakuwa umebarikiwa na huduma hii, mpe Mungu Utukufu na kisha nena waambie wengine!

Ni mimi Kiongozi wa timu nzima ya lisharoho.blogspot.com kwa niaba ya wenzangu,
Daniel R. Gingo
MUNGU AZIDI KUTUBARIKI!

2 comments:

  1. kaka huuu ni mwanzo mzuri na maono mazuri saaana nami ntakuwa pamoja nanyi katika kujifunza yale mambo ambayo yatailisha roho yangu nakuifanya iwe giant saaana

    ReplyDelete